Ni kweli walisajiliwa kwa mjibu wa sheria, na kupewa masharti na kuelezea matakwa na maksudi ya chama, sasa kama wanakwenda kinyume lazima wabanwe tena kitendo cha kusema Allah atakuja kumuuliza mi inanichefua saana, kwa sababu huyo Allah anaangalia wanao wabana tu, ila wao wanapoua , wanapochoma makanisa na kuiba Allah anawabariki na hata wauliza, Uamsho waache Choko Choko wajue Allah pia atawauliza pia