Uaminifu

Wale wanaotupigiaga kelele usiku kucha mchana kutwa hata wakiugua hospital hawataki kwenda, mali hawatafuti na wanajiita Walokole, hao wapo kundi gani ndugu
Mkuu jibu lako utalipata katika
2wathesalonika 3:1-17
 
Sina Biblia ndugu, huwezi niwekea hapa hayo maneno?
Ni ndefu sana jitahidi upate biblia au udownload biblia ila ukumbuke kuna biblia za uongo
Na za kweli katika hizo za kudownload

Hakikisha haijaandikwa jina La mtu
Mf,john bible n.k
Tafuta iliyo andikwa biblia takatifu,au biblia I download

Maana utahitaji kusoma na zaburi karibia zote ili upate kujua kwann wanaimba kanisani n.k
 
Nzuri..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…