Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,972
- 236,698
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ok bro
KhaaaOk bro
Msamehe bureKhaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bahati nzuri Sana ulishaoa [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji7]
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa sasa umenipiga injili asubuhi mno. Dah! Hivi tunaishi na wachungaji humu...Mungu hajawahi kusaliti mtu,unless hiyo mission haikukusudiwa kutimia kwako
.
Mungu ana wakati wake sahihi wa kujibu,huwa hachelewi Wala kuwahi., huo wakati wa Mungu yawezekana kwetu sisi tusiuone kuwa Ni sahihi,vivyohivyo majira sahihi kwetu yaweza kuwa SI sahihi kwa Mungu..luk13:14-16
Ndio maana unaweza kumuomba kitu Mungu atimize mambo kwa Muda fulani na ukashangaa halijatimia
Tatizo letu Ni moja, tunapenda Mungu ajibu kwa kadri ya mapenzi yetu.,katika Sala zetu Ni muhimu kumsihi Mungu mapenzi yake yatimizwe kwetu kwa kadri apendavyo Wala SI tupendavyo sisi.
Pia kitu kingine,watu tunapenda kumuomba Mungu Hali bado hatujajitakasa,maombi ya mwenye dhambi Ni kelele mbele za Mungu.
Mungu katika mathayo anasema ombeni mtapewa
Lakini katika yohana ameweka condition kwamba tukikaa ndani yake na maneno yake yakikaa ndani yetu,tuombe tutaka lo lote kwa jina lake tutapewa.
Kumbe
*Ni lazima Kwanza kukaa uweponi mwake
* Ni lazima Neno lake likae kwa wingi katika mioyo yetu
*Neno likikaa kwa wingi (tuliishi Neno)) ndipo Sasa tutakapopewa lolote tutakalo.
Mm Sio mchungaji jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa sasa umenipiga injili asubuhi mno. Dah! Hivi tunaishi na wachungaji humu...
Hapa sasa umenipiga injili asubuhi mno. Dah! Hivi tunaishi na wachungaji humu...
Nimefeli sana mkuu, labda injili ya ana kwa ana [emoji23][emoji23]. Cc Saint anneNajua somo halijaingia Fresh [emoji848] au nimefeli
Nimefeli sana mkuu, labda injili ya ana kwa ana [emoji23][emoji23]. Cc Saint anne
Hujambo??Baba! Hahahahahhaha big no mama
This means so much if you know what I mean-------------
I wanted to be sure from the first place!!!!!Uliponaje wewe!??
Haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajitoa ufahamu!??
Eeeee si kakuita bro yuleKhaaa
Sijui. Naomba niambie.This means so much if you know what I mean
Bahati yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I wanted to be sure from the first place!!!!!
Najua somo halijaingia Fresh [emoji848] au nimefeli
Hujaelewa wapi!??Nimefeli sana mkuu, labda injili ya ana kwa ana [emoji23][emoji23]. Cc Saint anne
Kumbe mnajuana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala, Khantwe anajua analolijua