Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
Mimi nafikiri kwa hali ya ubinadamu kama kweli unampenda nduguyo ni vema ukamwambia au kumpa tahadhari juu ya mambo flani ambayo hayako sawa. But kama alivyosema nyamayao umwambie kistaarabu. Si lazima uanze na haloo haloooo nimemwona mwaflani kasijui nini nii...................au jana shemeji alikuwa na ,.... hapana tafuta mwanzo mzuri kisha muwe kama mwadiscuss ucheck mwelekeo wake kisha wezamalizia tu na mh kuwa makini mwenzangu maana wanaume/wake hawaaminiki..........likitoka hili toka kwako lazima mwambiwaji atahisi kuna kitu so up to yeye aombe apewe mkanda mzima au aanze chunguza mwenyewe..........Ukikurupuka itakugeukia weye.
Habari lako kiongozi?
Ay kunta umenifanya nicheke........hapana mydia ni bora ukasoma na alama za nyakati wawezalimwaga jambo ukajikuta una mada kesi ati............ wengine vifua vidogo havihimili mazitoMwanajamii naomba usijue langu, maana jinsi unavyoremba! umeniacha hoi
Tatizo kubwa la kuambiwa hata na watu wa karibu ni uhakika wa maneno..kuna vitu kama chuki, wivu au tabia ya mtu kugombanisha watu kwa maneno ya hapa na pale. Labda awe mzazi au siblings wako hapo unaweza kuamini!..sijui marafiki au nani wengineo, hapo pagumu!!..
Watu wengine hawapendi kuingilia mambo ya wapenzi hivyo wanakaa kimya hata kama wan uhakika na kitu, mana wapenzi wanaweza kugombana na kurudiana wao wakaonekana wabaya hata kama walikuwa na nia njema..
Upande mwingine hamna kitu kinaumiza kama kuchoreka pale utakapopata ukweli wakati ni too late...
Nadhani hii ndo sababu kubwa ya watu kushindwa kuwaambia,
usaliti anaoufanya mmoja baina ya wapendanao,kwani mwisho wa siku,
AIBU inakuwa kwako!!!!!!!!!
Tatizo huwa linakuwa pale unapogundua halafu wengine huwa wanaanza kuwaambia rafiki zao "Kwanini hamkuniambia kwani mlikuwa kimya kwanini mlinificha" basi anaanza ugomvi na marafiki pia
Kusema kwa vyovyote unakua mmbeya, na matokeo ni kati ya haya:
- Aamini bila ya uchunguzi halafu waachane....
- Aamini kiasi fulani afanye uchunguzi...then waachane!
- Aamini na aamue kumsamehe....halafu wewe ile kwako...
The best way ni kumpa lead bila kumwambia......ang'amua mwenyewe kama akili bado anazo..
Binafsi hua nafikiria siku nikiwa kwenye mahusiano alafu mwenzangu akawa sio mwaminifu...mtu wangu yeyote wa karibu akajua ningependa aniambie.Na ikitokea asipofanya hivyo nikaja kugundua alijua akanyamaza ntamkasirikia.
Faida ya kuambiwa ni kwamba unajua kinachoendelea na unajipanga kukabiliana na ulichoambiwa.Ubaya ni pale unapotembea kichwa juu ukijua umepata kumbe kila mtu anajua umepatikana.Wanakuchora kwa maana nyingine.
Je wewe unaonaje?Uambiwe au uachwe kizani?
umbea ni kitendo cha kumpa mtu taarifa inayomuhusu au isiyomuhusu kabla/baada taarifa husika kutokea kabla ya mda uliotarajiwa.Hivi ukweli nao ni umbeya?
umbea ni kitendo cha kumpa mtu taarifa inayomuhusu au isiyomuhusu kabla/baada taarifa husika kutokea kabla ya mda uliotarajiwa.
Tatizo kubwa la kuambiwa hata na watu wa karibu ni uhakika wa maneno..kuna vitu kama chuki, wivu au tabia ya mtu kugombanisha watu kwa maneno ya hapa na pale. Labda awe mzazi au siblings wako hapo unaweza kuamini!..sijui marafiki au nani wengineo, hapo pagumu!!..
Watu wengine hawapendi kuingilia mambo ya wapenzi hivyo wanakaa kimya hata kama wan uhakika na kitu, mana wapenzi wanaweza kugombana na kurudiana wao wakaonekana wabaya hata kama walikuwa na nia njema..
Upande mwingine hamna kitu kinaumiza kama kuchoreka pale utakapopata ukweli wakati ni too late...
You can say that a million timesTatizo la kuambiwa ni hili cku mnapatana jamaa atakubembeleza hadi umuambie aliyekuambia wewe utajikoki nakumueleza alisanua, baada ya hapo kuna mawili either jamaa agombane nae au amtongoze sasa hapo ndio shida yenyewe.
trust me hakuna ustaarabu kwenye infidelity!!Mimi nafikiri kwa hali ya ubinadamu kama kweli unampenda nduguyo ni vema ukamwambia au kumpa tahadhari juu ya mambo flani ambayo hayako sawa. But kama alivyosema nyamayao umwambie kistaarabu. Si lazima uanze na haloo haloooo nimemwona mwaflani kasijui nini nii...................au jana shemeji alikuwa na ,.... hapana tafuta mwanzo mzuri kisha muwe kama mwadiscuss ucheck mwelekeo wake kisha wezamalizia tu na mh kuwa makini mwenzangu maana wanaume/wake hawaaminiki..........likitoka hili toka kwako lazima mwambiwaji atahisi kuna kitu so up to yeye aombe apewe mkanda mzima au aanze chunguza mwenyewe..........Ukikurupuka itakugeukia weye.
My oxhead dictionary.Hii fasili ni kwa mujibu wa mamlaka gani? Wewe mwenyewe, kamusi, au?
MTM ustaarabu upo kwenye kitu gani unachomwambia ....kumbuka yule si mtoto mdogo ni mtu mzima badala ya kumweleza mumeo nimemkuta au anatembea na flani.......we upe hint tu............Bi dada mh hebu kuwa makini..usiamini sana wanaume............ unaishia hapo. Sasa unless ana wanaume wengi but kama mwanaume ni mumewe tu na nyeye ni mtu mzima atajiuliza why umesema hivyo ndo aanze kuchanganya akili yake na ya mbayuwayu.trust me hakuna ustaarabu kwenye infidelity!!