Ualimu wito

ng'wanankamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
346
Reaction score
121
Ualimu ni wito.

Mwalimu: Hivi kwanini unachelewa shule kila siku? Unakaa wapi?
Mwanafunzi: Mbali sana.
Mwalimu: Mbali? Mbinguni?
Mwanafunzi: Mbinguni kwa mbele kidogo.
 
maama weee mbavu zangu mi toto kama hiyo cjui utaifanyaje?
 
Kama ni wa kiume unamchapa, km ni wa kike unamuita ofcn unamchapilia mbali.
 
Kwa mbele kidogo ni jehanum hahah

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
dah! imenichekesha sana, mpaka office mates wanauliza kulikoni!!!??
 
Duuuuh!!!! Haaa,ha,ha,ha,haaaa ... Ukiliona hivyo ujue baba yake na mama yake ndio kabisaaa na sikazi hata darasan lipo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…