wanakuja na pia watapunguza kuhongaWaje tulime huku
Wanahonga nini mkuu?wanakuja na pia watapunguza kuhonga
Wataajiriwa tu hawezi kuwaacha miaka yote walimu bado ni watu wa muhimu sanapoleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wana oendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo ya fanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom mnayopata sahiv ili mje muifanyie biashara baadae .........
yaaan hapa nikuacha chuo na kurudi kulima kijijinupoleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wana oendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo ya fanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom mnayopata sahiv ili mje muifanyie biashara baadae .........
Mkuu unipm ili tufanye biashara, mi nalima bangiBora uanze kuuza bangi sasa itakutoa
jiwe la gizani....Wataajiriwa tu hawezi kuwaacha miaka yote walimu bado ni watu wa muhimu sana
papuchi kupitia boomWanahonga nini mkuu?
wazo zuli hutojutia.....yaaan hapa nikuacha chuo na kurudi kulima kijijinu
yah ndo ukweli huoKwa walio mwaka wa kwanza, itapendeza zaidi wakubali kupoteza mwaka mmoja then mwakan waapply chuo kozi nyingine tofauti na ualimu!
Nb; ni kwa wenye uwezo wa kujitegemea pasi na boom
unataka kushesha.....Mkuu unipm ili tufanye biashara, mi nalima bangi
Dah ila hapana asee sa wakiacha si kuna mda watahitajka Tena na waspatkane......poleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wana oendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo ya fanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom mnayopata sahiv ili mje muifanyie biashara baadae .........
wapo wengi sana wawe wa pole kama watu wa lawDah ila hapana asee sa wakiacha si kuna mda watahitajka Tena na waspatkane......