Kimemeta
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 181
- 234
Mwalim: We Bwenga mbona upo nje wakati wa vipind?
Bwenga: fanya yako fala wew, maisha yangu hayakuhusu
Mwlim:
whaat!!!
Bwenga: Ujasikia au
chukua time sir [ huku akipishana na mwalim kwenda kona ingine ]
Mwalim:
[ anamshika kwa hasira anampiga bakora tatu za makalio]
Bwenga: anajiangusha chini, anajigaragaza, anachana shati lake mwenyewe anajinga`ta lips, dam zinatoka, anaigiza kuzimia.
Mwalim:
una mapepo?
Wanafunz wengine: ( wanatokea wanapiga kelele ticha kaua)
Marafiki wa Bwenga: wanaleta ndoo ya maji, wanamwagia ,bwenga anajifanya ndio kazinduka lakin anaumwa.hoi kwa kikipigo,
Bwenga: Naombeni mnipeleke hospital, wakiwa njian rafik zake wanapiga sim kwa wazaz wa bwenga,
Wazazi: wanaenda hospital, kisha mmoja anapitia polisi, anabeba askar wanaelekea shule, mwalim anapelekwa kituoni.
Magazeti next day: Mwalim apiga mwanafunzi mpaka kuzimia na kulazwa hospitali kisa katoka chooni akachelewa kipind dk 2,
Serekali: Kamata mwal mkuu, mwl wa nidhamu, mratibu elimu kata na fukuza wote kazi, mwalim jela,
Bwenga na rafiki zake:.Tumemkomesha yule boya, kutufatilia tu utadhani katuzaa yeye..
*ualimu Tanzania kwa sasa ni zaidi ya wito*
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwenga: fanya yako fala wew, maisha yangu hayakuhusu
Mwlim:
whaat!!!Bwenga: Ujasikia au
chukua time sir [ huku akipishana na mwalim kwenda kona ingine ] Mwalim:

[ anamshika kwa hasira anampiga bakora tatu za makalio] Bwenga: anajiangusha chini, anajigaragaza, anachana shati lake mwenyewe anajinga`ta lips, dam zinatoka, anaigiza kuzimia.
Mwalim:

una mapepo? Wanafunz wengine: ( wanatokea wanapiga kelele ticha kaua)