Ualimu ni kazi au shughuli?

Kweli ww ni high vampire....!! Mbna ww hujui hta matumiz ya R&L... then unamnanga mwenzioo.. kwel nyan hajion...
 
mshahara tgts C1 ni around 360,000 take home..lets assume hio 196,750 inayokosekana hapo ndio makato yako ya mkopo wa huko FAIDIKA...je huo mkopo uliuchukua ukaulewee???...haukuufanyia kitu chochote cha kuizungusha hiyo pesa????.....
naomba jibu mAgaziJuTO.
 
Last edited by a moderator:

Elimu yako ulioipata si dhani kama unaitumia ipasavyo. Asie enda shule ana afadhali kuliko wewe.
 
duh walimu wetu hao sijui watoto wetu wana cha kujifunza toka kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…