Uadimikaji wa mafuta zanzibar

Joined
Jul 17, 2018
Posts
50
Reaction score
43
Wassalaam.

Hivi ndugu zetu wanaoishi zanzibar kwa muda sasa zaidi ya wiki 2 wamekua wakisumbuka katika kutafuta mafuta ili kuendeshea shughuli zao za kila siku.
Je tujiulizeni kwa nini hili suala limekua linawasumbua na viongozi wapo kimya bila kulitafutia ufumbuzi?

Tunaomba viongozi wetu wa ngazi za juu mulitafutie ufumbuzi kwani ndugu zetu wamechoka kulanguliwa na kuuziwa mafuta kwa bei za juu na hawa jamaa wanaonunua mafuta kwa vigeleni.

Povu ruksa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…