kila kukicha majambazi yameuawa yakiwa yanajiandaa kufanya uhalifu hii ni kweli au ni yale ya mabwepande watu kubebwa na kwenda kuuwawa?
Maelezo ya polisi sio professional kwani kila jambazi hata auwawe kagera eti alihusika mauaji ya rufiji na Kibiti. Tuna maswali mengi kuliko majibu hapa
Ndio maana pamoja na ugumu wa maisha majambazi wanaogopa, hiyo ni njema kwa raia wema. Lengo ni kufanya watu waiogope hiyo kazi kuwa hakuna kukamatwa hai, ni Tanzania pekee majambazi walikua wanapora hata benki mjini na kutokomea! Wajaribu na sasa