U-yanga wa Mh Rais Huu Hapa

Mwananchi huyu anaonekana alifurahi sana alipopata bahati ya kupiga picha na mkuu wa nchi nahisi siku hiyo kijijini uko aliko ndo ilikuwa habari kwa jamaa zake Mkuu vp akumtoa kidogo.....!!
 
Mwananchi huyu anaonekana alifurahi sana alipopata bahati ya kupiga picha na mkuu wa nchi nahisi siku hiyo kijijini uko aliko ndo ilikuwa habari kwa jamaa zake Mkuu vp akumtoa kidogo.....!!

Mh Rais amemuona pia kavaa chama lake, huenda alidhani ni fulana ya CCM anaichunguza kwa makini ina nembo ya Yanga
 
mwananchi huyu anaonekana alifurahi sana alipopata bahati ya kupiga picha na mkuu wa nchi nahisi siku hiyo kijijini uko aliko ndo ilikuwa habari kwa jamaa zake mkuu vp akumtoa kidogo.....!!

unadhani wote wanaakiri mbovu kama wewe?
 
naona ulipita kasi kdg hapa, angalia kwa undani na ufanye tafakuri tunduizi

hapo kwenye red umeniacha kidogo. Hapo amekumbatiwa na shabiki wa yanga, hakuna tofauti kama shabiki wa simba/azam angemkumbatia, hata jezi ya yanga hajavaa!sasa ushabiki uko wapi hapo, na huenda alikutana na mtu huyo njiani tu akiwa amevaa jezi ya yanga alipomkumbatia mwandishi akaidaka, so sioni uhusiano wa ushabiki wa yanga na picha hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…