Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:
1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba
Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!
Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.
Kamati kuu imepitisha majina matatu kugombea uspika -- Anna Makinda, Anna Abdallah, Kate Kamba. Source: Channel Ten 7pm news bulletin
Kazi ya Chenge kumuharibia Sitta imefanikiwa!
Leo Rostam Aziz, Edward Lowassa, Nazir Karamagi na Andrew Chenge hawalali kwa furaha!
Kigumu Chama Cha Mapinduzi!
Afadhali mzee wa vijisent hayupo
Chama kushika hatamu!
Spika hapo ni Mhe Makinda, ...opposition kilio!
Mhe Ndugai naye atachukua umakamu.
Ahsante mkuu,Sio Makamba kaka ni Kamba!
Lakini kwa namna FULANI Vijisenti Kempu imefanikisha lengo; KUMWONDOA SITTA