Tuambie unatumia dell ipi ili tukupe link ya hizo driver pia ujue hizo machine mpaka uwe na speaker 5ya nje au subwooferWakuu habari z saiv natumia desktop ya dell na nime install windows 7 lakini kwnye sauti pale pana alama ya "X"
Nimejaribu kutumia driiver hizi lakini mambo n yale yale
1.Realtek hd aiudio 2.9
2.Realtek auidio definifiniitiion 4.s
3. Audio max drive
4.Online
But I fail help me plz
kuna optiplex nyingi sana kwa mbele ya optiplex kuna namba iangalie.Dell optplex pentiam 4
Iyo sio issue ya driver. .I gues ni audio service imestop. .utaweka driver zote hata pack haitosolveWakuu habari z saiv natumia desktop ya dell na nime install windows 7 lakini kwnye sauti pale pana alama ya "X"
Nimejaribu kutumia driiver hizi lakini mambo n yale yale
1.Realtek hd aiudio 2.9
2.Realtek auidio definifiniitiion 4.s
3. Audio max drive
4.Online
But I fail help me plz
Nimeweka earphone kwny speaker but amna kilicho ditect na nina play music sautii haitok bado nikiienda kwny icon y x inaleta troubleshut then ina fail kuditectMr IQ, Ebu jaribu kuweka hata Earphone tu uone kama itatoa sauti na kile ki icon cha Speaker kitabadilika na kuonyesha kuwa speaker ipo connected?
kama Earphone itatoa sauti basi huna haja ya kusumbuka kutafuta drivers kwani tayari pc yako ina driver ila Hardware (Yaani speakers) ndio hamnaaa.
Nitakusaidia jion mkuu sipo sehemu nzurKo unanisaidiajee apo mkuu..!!
eka solution uliotumia kwa faida ya baadaeAsanteni kwa miiichango yenu nisha ipata sauti hahahaha