bobby dolat
Senior Member
- May 18, 2015
- 167
- 263
hivi aegis system jamaa wame install kwenye dstroyers zote ama baadhi tu?
Destroyer ni kitu gani?
Destroyer ni kitu gani?
Ok hapo nimekuelewa mkuu! Ndo zile zunazoongozana na aircraft carrier kuilinda!Manowari kubwa size ya mwisho ambayo imebeba mizinga ya aina nyingi na makombora ya aina nyingi
Ok hapo nimekuelewa mkuu! Ndo zile zunazoongozana na aircraft carrier kuilinda!
Yap hizo ndio zinatoa Ulinzi kwa Aircraft CarrierOk hapo nimekuelewa mkuu! Ndo zile zunazoongozana na aircraft carrier kuilinda!