U.S.A vs U.K


USA - UK
Candy - Sweets
Cab - Taxi
 
kibongo ukisema period mnaweza kuchapana makonde
Hahaha nakumbuka ticha etu alikuwa anapenda sana kutusomea noksi halafu sisi tunaandika. Sasa wakati anasoma,mwishon akasema "period" maraia tukajua ni mwndelezo kumbe ndo iyo fullstop.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hood-street? sina uhakika
pound-weight? sina uhakika pia
 
US - Stereo US - Shop US - Pants US - Gas station US - Crazy
UK - Radio. UK - Garage UK - Trousers UK - Petrol/Filling Station UK - Mad
 
Usa = elevator
Uk = lift

Usa = first floor
Uk = ground floor

Usa = movie theatre
Uk = cinema
.
.
.
Usa's english issa fu**king english
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…