The U.N. has praised Tanzania for granting citizenship to some 162,000 refugees who fled Burundi 38 years ago. "It's the most generous naturalization of refugees anywhere," said UNHCR spokeswoman Melissa Fleming. The head of the agency, Antonio Guterres, described it as a "historic moment" and urged other countries with long-term refugees to follow Tanzania's example. Until 2000, Tanzania had one of Africa's largest refugee populations, 680,000, from Burundi and DR Congo. Some 350,000 Burundians have returned home in recent years, says the UNHCR. A U.N. spokeswoman said most of those granted Tanzanian nationality were Hutus. They had mostly fled conflict with the Tutsi-dominated army. The spokeswoman said they were already integrated into Tanzanian society and were not living in refugee camps, reports the Reuters news agency. (BBC)
Why is this a big deal..if these people have been living in Tanzania for the past 38 years?
It is a big deal because they were living without Citizenship...
Kinachoongelewa hapa sio faida za uraia, hizo zinajulikana. Tunasema nini cha ajabu hapa kwa kumaanisha hawa watu walistahili uraia tangia hapo maana walishakaa miaka 40. Tanzania haikustahili sifa za namna hiyo. Tena wamecheleweshwa kupewa uraia.
Haimaanishi kilichofanywa hakina maana au faida. Hukuelewa.
Kinachoongelewa na nani? Article inaongelea Watu 162,000 kupewa uraia, how can you not associate that with the rights of citizenship?
Nini cha ajabu? Hakuna nchi (Tanzania included) iliyowahi kuwapa watu wengi hivi uraia kwa mkupuo. Unasema walistahili kupewa uraia tangu zamani, kwa misingi gani? Sheria gani? Unasema sijaelewa, lakini inaonekana wewe ndiye usieelewa tofauti ya amnesty/ charity na stahili haviendi pamoja. Hawa watu wamepewa uraia kwa amnesty/ charity.Serikali ya Tanzania in principle ingetaka kuwarudisha Burundi ingeweza.Kwa hiyo hili si jambo la kupuuza.
Mimi ni critic mkubwa wa serikali, lakini serikali inapofanya jambo sawa sina budi kuipongeza, na wala sioni kwamba kuipongeza serikali inapofanya jambo sawa kunanipunguzia uwezo wangu wa kuikosoa katika yale inayofanya vibaya.Serikali haihitaji kufanya kila kitu vibaya ili ukosoaji wangu uwe relevant.
I can understand if you are basically saying "What took you so long?" to the government, but saying that the government does not deserve credit because it took too long doesn't sit well with me, because after all the government had the option in principle at least to send all these people back to their country.
The U.N. has praised Tanzania for granting citizenship to some 162,000 refugees who fled Burundi 38 years ago. "It's the most generous naturalization of refugees anywhere," said UNHCR spokeswoman Melissa Fleming. The head of the agency, Antonio Guterres, described it as a "historic moment" and urged other countries with long-term refugees to follow Tanzania's example. Until 2000, Tanzania had one of Africa's largest refugee populations, 680,000, from Burundi and DR Congo. Some 350,000 Burundians have returned home in recent years, says the UNHCR. A U.N. spokeswoman said most of those granted Tanzanian nationality were Hutus. They had mostly fled conflict with the Tutsi-dominated army. The spokeswoman said they were already integrated into Tanzanian society and were not living in refugee camps, reports the Reuters news agency. (BBC)
Kinachoongelewa na nani? Article inaongelea Watu 162,000 kupewa uraia, how can you not associate that with the rights of citizenship?
Nini cha ajabu? Hakuna nchi (Tanzania included) iliyowahi kuwapa watu wengi hivi uraia kwa mkupuo. Unasema walistahili kupewa uraia tangu zamani, kwa misingi gani? Sheria gani? Unasema sijaelewa, lakini inaonekana wewe ndiye usieelewa tofauti ya amnesty/ charity na stahili haviendi pamoja. Hawa watu wamepewa uraia kwa amnesty/ charity.Serikali ya Tanzania in principle ingetaka kuwarudisha Burundi ingeweza.Kwa hiyo hili si jambo la kupuuza.
Mimi ni critic mkubwa wa serikali, lakini serikali inapofanya jambo sawa sina budi kuipongeza, na wala sioni kwamba kuipongeza serikali inapofanya jambo sawa kunanipunguzia uwezo wangu wa kuikosoa katika yale inayofanya vibaya.Serikali haihitaji kufanya kila kitu vibaya ili ukosoaji wangu uwe relevant.
I can understand if you are basically saying "What took you so long?" to the government, but saying that the government does not deserve credit because it took too long doesn't sit well with me, because after all the government had the option in principle at least to send all these people back to their country.
Kiranga,
Key info kwenye hii habari ni "38 Years" na "162,000"
Kwa sababu nimeandika sentensi moja haimaanishi sikuwa na sababu za kuishangaa U.N. kwa kuisifia Tanzania.
Hebu naomba nikuulize haya machache ndio utaweza kunielewa kwa nini naona pongezi hizo hazistahili.
Miaka yote 38 hao Wakimbizi walikuwa wakiishi vipi Tanzania, nikiwa na maana;
Waliruhusiwa kufanya kazi/ biashara?
Walikuwa wanaishi kwenye kambi za Wakimbizi?
Walikuwa wanahudumiwa mahitaji yao na Serikali ya Tanzania au UNHCR?
Katika miaka 38 hiyo total ya 162,000 imepatikana vipi (kama sio ya kufikirika) nikiwa na maana ni wangapi ambao wamepewa uraia sasa ingawa wao (watoto) na wazazi wao walizaliwa Tanzania ndani ya miaka hiyo 38?
Katika kipindi cha miaka 38 hawa watu unaweza kusema walikuwa ni Waburundi kwa sababu baathi yao walitokea Burundi au Wazazi na Wazee wao walitokea Burundi?
Majibu hayo ndiyo yananifanya niwashangae U.N. Hawa watu ni haki yao kuwa Watanzania baada ya kuishi Tanzania miaka 38; Serikali ya Tanzania na U.N wote wanalijua hilo. Utaniuliza kwa mujibu wa Sheria gani....mimi nitakujibu sio kila kitu kiko black and white kana kwamba hawa tunaowazungumzia hapa sio watu. Tanzania ingeweza na ilikuwa na wajibu wa Kibinadamu (Moral Law) na pengine kwa Compassionate ground za kuwapa hao wakimbizi uraia mapema zaidi.
Hivyo, hoja yangu ni kuwa U.N inatoa sifa kwa jambo ambalo Tanzania "ilipaswa" kufanya
au kama ingeamua kuwanyima Uraia ingetakiwa kuwarudisha Burundi..
jambo ambalo wote tunajua baada ya miaka 38 lisingewezekana. Je, bado unataka tuamini kuwa "kimatendo" Tanzaia ilikuwa na options zenye kuingia akilini?
The majority of them were Burundians who fled during the civil war in the 1990's. Since the peace process started in 2002 some 500,000 Burundian refugees have returned home from neighbouring countries.
Hii paragraph pamoja na maelezo yako hapo juu vinabadilisha kabisa maana ya hii habari. Ni vizuri tukakubaliana kuwa kwenye habari iliyoletwa hapa mwanzo kulikuwa hakuna kabisa taarifa za kuwa wakimbizi hawa wengi wao ni wale waliokuja Tanzania miaka ya 1990's.
Kwa mantiki hii tuko ukurasa mmoja kuwa Serikali ya Tanzania inastahili pongezi.
Suala la timing kwenye kuwapa uraia sasa, inaweza kuwa mjadala wa siku nyingine. Ila iwapo japo nusu ya hao 162,000 wapo maeneo hayo uliyotaja basi ni sahihi kuamini kuwa kura zao na wao zitahesabiwa kwenye uchaguzi ujao.
Kuna habari nilisoma sehemu fulani kwamba raia wa burundi sasa wanaweza kuingia nchini bila kibali