Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 6,768
- 10,312
Nimesikitishwa na press release ya Chama Cha Mawakili wa Serikali (TPBA) ya 12 November 2025. Katika hiyo press release, TPBA inadai (pamoja na mambo mengine) kwamba maandamano ya 29 October 2025 hayakuwa halali, kwani yalikiuka zuio la polisi. Hiki ni kisingizio cha kisaliti na kipumbavu sana!
Sasa basi, nimeamua kuwapa challenge mawakili wa Serikali. Yeyote atakayekuwa wa kwanza kutuletea hapa mifano miwili au mitatu ya maandamano dhidi ya Serikali (kuanzia 1992 mpaka 2025) ambayo waandamanaji wake hawakuvamiwa na kupigwa na polisi nitamlipa TZS 10,000,000. Nakiweka hiki kiasi kikubwa cha pesa on the line confidently kwa sababu nina uhakika 100% kwamba hakuna yeyote miongoni mwenu mawakili wa Serikali atakayeweza kushinda hii challenge!
Soma Pia: Chama cha Mawakili wa serikali chalaani vikali vurugu na maandamo ya Oktoba 29, wadai maandamano hayakuwa halali
Historically, kimsingi, hakuna maandamano dhidi ya Serikali ambayo polisi hawajawahi kuyazuia. Kuzuia na kutumia mabavu kuvunja maandamano dhidi ya Serikali is their standing order!