TZ yetu ya viwanda inazidi kushika kasi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,817
Waziri wetu wa Viwanda C.Mwijage, akiweka Jiwe la msingi Ujenzi ya Kiwanda cha sabuni Mkoa wa Pwani!

4.JPG


Muonekano wa Kiwanda chetu kipya Mkoani Pwani!

8.JPG




Watu wetu wakipiga kazi kuijenga TZ yetu ya Viwanda!

DSC_6123.JPG

(Picha -Blogu ya Michuzi!)
 
Mleta mada bwana...

Eti.. Muonekano wa kiwanda CHETU....

Chetu na nani???

Serikali ina hasa ngapi hapo kwenye hicho kiwanda??

Ogopa sana kuzaliwa hamnazo na ukafa ukiwa hivyo hivyo.
 
Hizi sababu za cleansoft ndio zile ambazo mchezaji wa timu ya taifa ya Ghana bwana Asamoah anazitangaza
 
Eti sabun, wakati m2 unatengeneza mwenyewe kwa kutumia mawese kwanza sabun b0ngo n nyng nenda dukan utajua
 
Back
Top Bottom