Tz: Taifa la kusikilizia

Nyambala, nimekusoma, nimecheka asubuhi subuhi hii, nami sasa 'nasikilizia'
 
Nyambala, nimekusoma, nimecheka asubuhi subuhi hii, nami sasa 'nasikilizia'

Ndiyo hivo tena mkuu we si umeona haya masuala ya Jairo yalitokea mkulu akiwa SA. Tukaambiwa yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kuhusu hilo sakata maana ndiye mteuzi, ghafla akaibuka Luhanjo na kudai hii iko ndani ya mamlaka yake. Mkulu amerudi zaidi ya wiki 2 sasa kimyaaaaaaa, anasikilizia. Suppose hii ishu ikapamba moto tena ndiyo unakuta msikiliziaji amechomoka huko aliko na kwashangaa watu wake kwa nini wameendelea kusikilizia muda wote huu!!!!!!!
 

Nilifanya interview pale utumishi 2009 na bado nasikilizia matokeo kwavile bado sijapewa taarifa endapo nimepata kanafasi au nimekosa! Ikiwa wapwa wansikilizia kurudi kwa Jesus zaidi ya miaka 2000 sasa ije kuwa mimi issue ya juzi tu hapa!! NASIKILIZIA!
 
 
wananchi bado tunasikilizia lini tutaiondoa CCM madarakani....CCM inasikilizia lini itawafukuza mafisadi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…