A Arnomwak New Member Joined Feb 8, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Feb 8, 2013 #1 Kufanya vbaya katika michuano ya vyuo kutoka East Africa inaonyesha jinsi gan tusivyojali michezo katka vyuo vyetu
Kufanya vbaya katika michuano ya vyuo kutoka East Africa inaonyesha jinsi gan tusivyojali michezo katka vyuo vyetu
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,464 Reaction score 5,133 Feb 8, 2013 #2 Mhh... Kutokana na ugumu wa shule, hata huo muda wa michezo au mazoezi sijui kama inawezekana. Nangoja wanafunzi, hususani waliofanya vibaya, waje kutoa ufafanuzi
Mhh... Kutokana na ugumu wa shule, hata huo muda wa michezo au mazoezi sijui kama inawezekana. Nangoja wanafunzi, hususani waliofanya vibaya, waje kutoa ufafanuzi