Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Tsh. 95,000/= ni ghali sana kwa manunuzi ya domain pekee.. avarage price kwa TLD including .com, .net, .org providers dunian ni kati ya 5$ - 9usdHabari wanajamvi,
Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa:
View attachment 2135040
Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo:
Kuna majina ambayo yamekuwa reserved na TCRA, kwa mfano majina ya mikoa, majina maarufu etc.
- Sasa hivi wanafanya reservation, kama ulisharegister jina lolote lenye format ya .xx.tz (iwe .co.tz, .ac.tz etc). Reservation inafanywa between sasa na July 2022. Opoortunity ya kwanza inatolewa kwa wale ambao wana domain tayari, na majina lazima yamatch (kama ilikuwa samedi.co.tz, utaweza kuregister samedi.tz)
- Next in line ni wale wenye trademark. Kama uliregister BRELA, unaweza kuclaim .tz domain hata kama ulikuwa hujaregister awali.
- Mwisho itawekwa open kwa raia baada ya mwezi wa saba.
Binafsi nina furaha kuu kwa kuwa hatimaye tuna hii fursa.
Sasa kama .tz wanaona Ni Big deal wanauza Tsh 95,000.Tsh. 95,000/= ni ghali sana kwa manunuzi ya domain pekee.. avarage price kwa TLD including .com, .net, .org providers dunian ni kati ya 5$ - 9usd
Ni aibu kubwa sana kama kwel tumeshatambua nia yetu ya dhati kushindana kwenye soko la dunia ya teknolojia
Kweli kabisa mkuu, tutabaki kuimba "tehama, tehama".Tsh. 95,000/= ni ghali sana kwa manunuzi ya domain pekee.. avarage price kwa TLD including .com, .net, .org providers dunian ni kati ya 5$ - 9usd
Ni aibu kubwa sana kama kwel tumeshatambua nia yetu ya dhati kushindana kwenye soko la dunia ya teknolojia
Ukielewa thamani yake... Sio ghali kivile. Facebook.com ilinunuliwa kwa gharama ya $5,000 (bei ya gari hapa bongo).Tsh. 95,000/= ni ghali sana kwa manunuzi ya domain pekee.. avarage price kwa TLD including .com, .net, .org providers dunian ni kati ya 5$ - 9usd
Ni aibu kubwa sana kama kwel tumeshatambua nia yetu ya dhati kushindana kwenye soko la dunia ya teknolojia
Ina thamani yake. Sababu ile ile inayofanya samsung kuwa ghali na ya thamani kuliko tecno, itel na infinix.Laki moja? Kuweni serious.
haha. mbona hujasomeka.Hopeless
Bado sijaelewa mantiki yako kufananisha Facebook na .tz domain extension..Ukielewa thamani yake... Sio ghali kivile. Facebook.com ilinunuliwa kwa gharama ya $5,000 (bei ya gari hapa bongo).
Apart from having hyo .tz domain kuna metrics kibao za kuzingatia behind the scene, lazma uwe vzr kweny kutengeneza concepts nzuri, webdevelopment, SEO optimization, graphics, CSS etc etc..Ina thamani yake. Sababu ile ile inayofanya samsung kuwa ghali na ya thamani kuliko tecno, itel na infinix.
Watu waliopo serikalini kwenye nchi hii wengi ni mizigo ya mavi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakiwepo wale waliozuia kupokea malipo kwenye mtandao wa PAYPAL. Wafe kabisa!
No domain pekeeLabda amemaanisha ni domain pamoja na hosting. Ila kama ni domain peke yake, ni ghali sana.
Hongera Yao Kwa hatua waliyofikia ila nafikiri bei ya domain sio rafiki sana ni ghali [emoji848] wangepunguza ila hii changamoto IPO sana nchini kwetu thamani za domain xinakua kubwa sana kuliko site zingineHabari wanajamvi,