Upo wapi nikuelekezeHabari wana Jamii Forums, ninaomba msaada kwa anayeuza au kujua nakoweza kupata Tyre ya pikipiki size 180/55 ZR 17. Najua humu kuna wafanyabiashara na wajuzi wa hizi bidhaa. Ahsanteni. View attachment 723360
Ungelikuwa hapa basi ningekuelekeza sehemu uende ukanunueNipo Arusha ndugu yangu
Namba zao sina,isipokuwa ukienda mitaa ya mnazi mmoja na kariakoo huwezi kukosa,Kama ni dsm nielekeze tu kaka, ntasafiri nikatafute, au ukinisaidia namba yao ya simu ntashukuru sana.