Typical African woman

Hii inahatarisha sana kwa usalama wa watoto, umasikini huu
 
Weka na ya typical modern african woman. Anaamka asubuhi kuhakikisha watoto wako ready kwa shule, anajiandaa na kwenda kazini. Akitoka kazini anaenda shopping ya groceries, ana kikao cha vikoba ama harusi, akirudi aangalie homework za wanae na kupika na kuangalia series. Na usisahau kuhakiki milango inefungwa!
 
Still mama anaona ni sawa tu, umaskini wa elimu na kipato
Mama atabaki kuwa MAMA yuko tayari hata yeye akose usingizi kwa ajili ya watoto wake wakati baba inawezekana yupo kwa mchepuko na akaongopa amesafiri kikazi.

Kwa kweli kila mmoja ana mapungufu yake lakini linapokuja suala la watoto wakina MAMA ndio wenye kipaumbele kwa asilimia zote
 
Ah...hatari...! Kabanga bwana...!!! Hii style yako ya kuchangia inaniachaga hoi kwei kwei
 
michepuko iko mjini, huyo ni mwanakijiji!
Kila mahala mkuu tena huko vijijini ndio usiseme sababu baba mwenye nyumba anakuwa anaogopeka kupita kiasi anaweza akaonekana na michepuko wazi wazi na mkewe akaogopa kuongea chochote. Kama ujuavyo wanawake wa vijijini wana nidhamu ya hali ya juu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…