Types of husbands


Nimekupenda sana,wewe ni mume wa shoka na unajua unachoongea
 
I am a 'SITUATIONAL' HUSBAND...i take all numbers from 1-10. It depends on "mazingira". Wanawake ni viumbe wasiotabirika wala "kueleweka" na ili uishi nao vizuri na kwa amani kabisa basi na wewe mume uwe "hutabiriki" wala "hueleweki" .ukitabirika tu basi ujue hutakuwa"mume" tena. Kuna wakati unaweza ukawa unampa spiritual guidance kwa mfano,lakini kutokana na imani kuwa ndogo juu ya kile unachomuongoza anaweza akawa mkaidi sana kufuata.mfano kwa waislamu mwanamume anatakiwa ahakikishe mkewe anasali sala tano(kuswali ni LAZIMA,unless awe na udhuru unaoruhusiwa kisheria kutoswali km vile kuwa kwenye MP) Au kwa wakiristo ni muhimu mume kuhakikisha mkewe anasali ama kwa kwenda kanisani au hata kusali nyumbani nk. Sasa kama mkeo ni"bongo fleva" halafu ukataka kuapply namba 10 hapo juu basi UTAFELI TU. Ama kuna wakati mume unakuwa na muda wa kuwahi nyumbani kuliko mkeo ambaye labda majukumu ya kazi yanambana sana...hapa unatakiwa uwe namba 10 uhakikishe unamjali na kumsaidia mkeo kwa majukumu mengi sana...na wala kumsaidia huko hakutakufanya usiwe"mwanamume wa shoka".kwa hiyo kwa kifupi mume bora ni yule anae dance acording to the tune'
 
wa kwangu naona ana-qualify for No.

2 - ACIDIC
3 - SLAVE
5 - DRY
6 - PANADOL
7 - PARASITE

Ni majanga!
 

I like this.....maana aki-dance contrary to the tune ni balaa, ila wengi nao hawaelewi wanataka competition tu
 
Mwanaume anaweza kuwa No. 10 bado akawa na kamchepuka kama kawa kama dawa!

Hakuna kinachoharibika. Cha msingi ni kuhakikisha majukumu yake ya nyumbani anayatekeleza ipasavyo.. It is scientifically proven kwamba mwanamke mmoja hamtoshelezi mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…