Types of husband

Mi siwaoni hao walokuwepo labda nimepofuka!

Hauwez waona wakati haujaolewa......vya kwenye ndoa experience wanaijua wenye ndoa,wewe na aliyeku.....IPO siku mtafikia haya maisha au hata na mwengne mwanaume
 
Kwa uhalisia wa maisha ya ki Tz,nafit kabisa kwenye 10 japo ndio Nina mwaka kwenye NDOA
 
Basi hawakawii kujifanya no.10

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Toa kumi aisee! Sababu wa hivyo waliisha hawapo siku hizi halafu kwenye 1 - 9 wamejaa acha wajicategory wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…