William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mzee Es said:Hapana Mzee wangu, serikali ya US ni lazima itaarifiwe mapema maana kuna ulinzi wa overtime, nani ataulipia? Protocali hairuhusu ndugu yangu ninakumbuka one time Mwalimu pale NY alitaka kumtembelea mama mmoja ambaye ni kutoka familia yake, yaani nyumbani kwake kule Queeens,
Secret Service wakakataaa kuwa hapafai kiusalama na hakwenda, isingewezekana kabisaaa yeye kuanzisha safari mpya ya kuja Detroit, kwake kumtuma Mtawa, ilikuwa heshima kubwa sana, tena sana, halafu kumbuka kuwa Mtawa alitokea bongo hakuwemo kwenye safari!
I respect lawama zako, lakini not a president Mtawa was too big kuja huko, yaani kisiasa rais mwenyewe alikuwepo!
Mzee Mwanakijiji said:Selemani, hilo ndilo tatizo letu, kwa vile serikali haijawahi kufanya kitu, basi isifanye tena! Na hilo pia ni sababu zilizotolewa na ubalozi kuwa hawataki kuanzisha mazoea (precendence) ya mambo haya. Kama Mwanagenzi anavyosema hapo juu, ngoja hawa vijana wazikwe ndo tutazungumza kuhusu feelings zetu hususan Ubalozi na misaada yao kwa Watanzania. Kama ubalozi unafanya kazi kwa woga au hoja halisi tutaliona hilo kwa kina. Kwa sasa tufikirie tu hoja zetu.
R.I.P Walter and BonitaMr. Clean.. katika sehemu zilizoendelea Marekani.. Detroit si mojawapo! not in a practical sense anyway... Hivi unajua siku waliyouawa vijana watu wengine wangapi waliuawa usiku huo?... 24! Na hao ni Wamarekani.. now in the greater scheme of things.. where do we fit?