thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,864
- 4,848
Hawa jamaa kuna shujaa wao mmoja anaitwa Gandhi nilisoma historia yake nikaja kugundua kwamba huyu jamaa ni mbagudhi alikusanya vijana was kihindi zaidi 100 ili kuungana na makaburu kwa ajili ya kupigana na wazawa yeye akidai wahindi hawapaswi kutritiwa Kama watu weusi na aliwaita watu weusi kaffirs. Ndo nikaja kugundua hawa jamaa wanawasajudia Sana na kuwaogopa wazungu na kuwabagua kiasi kikubwa watu wenye rangi nyeusi. Mimi binafsi my primary assumption ya muhindi yeyote ni mbaguzi tu hats aweje.Tusipoweza kureact leo usitegemee kesho watakuheshimu.Issue ya ubaguzi India siyo ya jana wala leo.Watu weusi India wanabaguliwa sana.Ifike mahali tujivunie UAFRIKA na UTANZANIA wetu Tuwe wazalendo hasa.Muhindi ni Muhindi tu mbaguzi awe india,Afrika au Canada m=ni walewale wabaguzi.Hivi katika wale 20 waliona sahihi kupiga watanzania wanne pamoja na kujitambulisha kwamba wao ni watanzania aliyeua ni Msudan bado wakasema ni wale wale.So hata tulionao hapa ni wale wale.Wahindi wangapi wanongea kiswahili leo??Nenda hapo upanga uliza wahindi wangapi wanaongea kiswahili kilichonyooka??Ni wangapi wamezaliwa na kukulia Tanzania lakini leo ukiwauliza kiswahili hawakijui???
Bado hujaniambia kitu kuhusu hawa PONJOOO,hakika warudi kwao tu