Two Days Pastors, Leaders and Youths Conference

Two Days Pastors, Leaders and Youths Conference

JOEL ELPHAS

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
20
Reaction score
9
Tunapenda kukualika 2 days leaders and Youths fellowship conference by Victor Nkomo kutoka South Africa ni week hii ijumaa na jumamosi tarehe 26 na 27 Katika hotel ya Midland, iliyopo mtaa wa Rwagastore mwanza karibu na stand ya magari yaendayo Igombe. Kuanzia saa mbili asubuhi na kuendelea. For Confirmation Call us 0757 755 228. Hakuna kingilio, chakula cha mchana kitatolewa kwa watu wote. Tunaomba uwaalike na wengine Ubarikiwe.
14064268_1175095282561652_8906463307124336699_n.jpg
 
Back
Top Bottom