Twiga Stars kwenda Zimbabwe na matumaini kibao

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Twiga Stars 1.jpeg

TIMU ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, inaondoka leo Ijumaa kwenda Harare kurudiana na ‘wadada’ wa Zimbabwe katika raundi ya kwanza ya kuwania kufuzu fainali za Ubingwa wa Afrika kwa soka la Wanawake, huku ikiwa na matumaini makubwa ya kusonga mbele.

Licha ya kufungwa katika mechi ya kwanza kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam, kocha wa timu hiyo Nasra Juma Mohammed, anasema ana matumaini kikosi chake kitafanya vizuri na kufuzu kwa mara ya pili fainali hizo ambazo zitafanyika nchini Cameroon kati ya Novemba 19 na Desemba 3 mwaka huu.
ZAIDI...
 
Back
Top Bottom