Twiga ni yupi hapo?

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Hii ndio athari ya viongozi kufanya kazi ili wakimbilie kupost mitandaoni. Sasa hapo Twiga ni yupi na wanyama wengine ni wapi?? Anyway, mi nishamuona twiga. [HASHTAG]#TwigaWakilaUpepoZiwani[/HASHTAG] [HASHTAG]#TwigaNaWanyamaWengine[/HASHTAG] [HASHTAG]#UtaliiWapicha[/HASHTAG] [HASHTAG]#AlbadirInafanyaKazi[/HASHTAG] [emoji23][emoji23]
 
Angalia Kigwa, mbona kama dushelee imevimba, ndio Twiga?
 
Akil zetu ndio mwisho wa kufikiria
Wewe mwenye akili kubwa umewahi kufikiri nini cha maana katika taifa hili au hata nyumbani kwako! Acha hizo, wanaofikiri nembo yao ni hii hapo chini, wengine ni matumbo njaa tu!
 
Wewe mwenye akili kubwa umewahi kufikiri nini cha maana katika taifa hili au hata nyumbani kwako! Acha hizo, wanaofikiri nembo yao ni hii hapo chini, wengine ni matumbo njaa tu!
Mbn povu mkuu
 
Wewe mwenye akili kubwa umewahi kufikiri nini cha maana katika taifa hili au hata nyumbani kwako! Acha hizo, wanaofikiri nembo yao ni hii hapo chini, wengine ni matumbo njaa tu!
Mengi san na asilimia kubwa yamefanikiwa
 
Huyu jamaa kwa maigizo mzee majuto anadondoshwa kwenye fani muda si mrefu.
 
πŸ˜±πŸ˜³πŸ™„πŸ˜΅πŸ™‚πŸ˜‰πŸ˜€ Dah! Eti Twiga na wanyama wengine! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...
 
Twiga si ni huyo wa katikati.,
Au mie ndio sioni vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…