Twiga bancorp

Harhombo

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
216
Reaction score
57
Hii taasisi ilitangaza nafasi za kazi mwaka jana za teller na credit officers ,kwa mwenye taarifa atujuze zimeishia wapi au bado hawajaita? wadau!Shukrani
 
Du! Nlishasahau kabisa km nliomba hapo!!
 
Ilikuwa ni zuga tu hiyo manake kama ni kazi watu walishapa hata kabla ya tangazo kuwekwa!!!!
 
kaka maombi yalikua mengi saana yaan kuzidi maelezo mwisho kuna kitu flan wakaamua am not so sure. mi mwenyewe nliomba pale af nkategemea itakua poa maana nlishawah kufanya field kama credit officer na aliyekua mkuu wa department yangu ndio akateuliwa kua acting CEO baada ya H.MBULULO kustaafu, nkategmea wanaweza kuniconsider ila wapi, jambia likatembea!
 

Pole sana,mtegemee Mungu maana time of God is the best.
 
Siku hizi kazi zikitangazwa waki apply wachache ni kama mia mbili hivi,sasa kama kazi ilitangazwa na umepita muda mrefu tusikimbilie kulaumu makampuni.Mimi mtu kama uliomba na muda mrefu umepita huna taarifa yeyote nashauri uende ofisini kwao au hata piga simu au tuma e-mail ulizia kuhusu hiyo kazi.Kwani kuna mtu anakuzuia ukienda kwenye hiyo ofisi ukaomba kuonana na HR au wahusika ukawauliza kuhusu kazi hizo kama waliita au la?au piga simu au hata e-mail?Sometimes kazi inaweza ikatangazwa,kampuni ikawa na matatizo ya pesa wakaacha kuita,kama ni bank teller labda kuna branch walipanga kufungua then mambo yakawa ndivyo sivyo,how do you know?Ushauri tusiwe wepesi wa kulaumu,tutafute information kwanza kabla ya kuanza kufikiria mambo ambayo mengine si kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…