Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 463
Atakavyo wapiga tikitaka hao Act, na Chandimu hawatasahau kuchukua shushushu was CCMHakika sio Siri tena Membe anakwenda kuonesha maajabu kwani kaiteka mioyo ya watanzania . Na sisi watanzania wengi tulikuwa tumekata tamaa baada ya huyu nguli mbobezi wa Mambo kuonesha kuyumba katika kampeni . Hivyo baada ya kutangaza kurudi kwa kishindo tumefarijika na tunaenda nae .
Tunajua maccm na baadhi ya wabaya wa membe wamejipanga kuzuia maafuriko ya super sub huyu ila tunawaambia patachimbika bila koleo siku ta tarehe 28 . Hatuna shaka na ushindi wake na ndio maana serikali inajitahidi kumvuruga ila hata asipofanya kampeni tunampeleka ikulu saa mbili asubuhi .
Dunia ijiandae kuona maajabu kwani kampeni yetu ya nyumba kwa nyumba ishafanikiwa na kwa utafiti unaonesha atashinda kwa asilimia sitinii.
We ndo wakala wa ccm tuache na Membe wetu au unawivu usioweza kujizuiaaHuyo ni wakala wa CCM
Ndio membe Super sub najua hamtaamini ila nakuhakikishia ikulu anaingia sooonMkuu unazungumzia huyu Membe shujaa wa CDM miezi minne iliyopita?
Hongereni waee wa KAZI NA BATAWe ndo wakala wa ccm tuache na Membe wetu au unawivu usioweza kujizuiaa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We kama humtaki hama nchi ila jua wiki ijayo ndo atakuwa raisi wakooNendeni nae kwa aliyewatuma
Lisu ndo angemuachia membe kwani Hana nguvu kama membeAmpe pasi Lissu, aache uchoyo.
Akipitia mlango wa nyuma??Hongereni waee wa KAZI NA BATA