Hivi Kati ya ME na KE nani hufadhaika zaidi pale anapokuwa na ham ya SEX? na bila kupata msaada??
Mimi nimeshuhudia mtu wangu wa karibu akiteseka Sana usiku mzima baada ya kumbania dushe langu. Hii ni kwa sababu ya jeuri alonifanyia mchana wa siku ile.
Lakini pia nami kidume ktk pita pita zangu nishawahi kuungua usiku mzima bila huduma. (Palikuwa hapatoshi)