Twende basi nawewe! Takupa zawadi

Akikubali atapewa pata ktk somo la hesabu
 
Hapo gongeo lime fyatuka balaa!

Halafu ..ge bwana! Hivi huyo na akili zako mtu waweza kumtamani kabisa? Pengine na kwa vyovyote vile huyo hata kujiswafi kike hajaweza
 
Huyo man mbona kama ndugu yetu Hamphrey Slow Slow wa tume ya katiba!
 
Aniulize mimi Std VII nilitolewa darasani kila inapofika kipindi cha Jiografia

Madhila ya watoto wa kike mashuleni na vyuoni! Vifua vyao vimebeba mengi ya simanzi mno
 
Madhila ya watoto wa kike mashuleni na vyuoni! Vifua vyao vimebeba mengi ya simanzi mno

Acha mkuu ni Muumba pekee anayejua yanayotupata tuache hayo mkuu yanauma sana bora primary school binti hajui kitu, chuo na makazini bint hadi anajuta kuzaliwa ke, mkuu najua nitawakwaza wanisamehe yaani maofisini ni kuna wakware wanausumbufu acha, huko chuo ndio usiseme, unakuta binti yatima anasomeshwa na mfathili Lect anajua hilo anamtaka tu ati kwa sababu ni yatima akikataa kosa mhhhh.
 

Ngoja tutaiundia mada hii ijitegemee kuna mengi sana ndani yake na mada kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…