Tweets nyingine bana

atakuwa na tatizo la misuli huyooo ... Kama unaiwaka moto
 
Aisee nimecheka sana. Jamaa anasikia maumivu ya kichwa miguuni! Sijapataga kusiakiaga wala kuonaga.
 
Haahaha! Hicho kikatuni kikasema "THIS POST GIVE ME A HEART ATTACK IN MY STOMACH
 
Be like a bro na aunty acid ni zaid ya matatizo linapokuja swala la quotation
 
Hata Mimi sijui ila sijafikia hapo
 
Labda anamaanisha kile kichwa kidogo kilicho katikati ya mguu kina homa..............(homa ya dunia).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…