Kunatakiwa mapambio, ukipambia, sheria, taratibu NA kATIBA haVina nafasi. MAPAMBIO!Hiyo haitaondoa fact kuwa walivunja sheria na kukiuka utaratibu
Ni kweli kabisa, siku hizi ukisema nanihii hakubaliki basi ujue unavunja sheriaHiyo haitaondoa fact kuwa walivunja sheria na kukiuka utaratibu
Hili jibu linamtosha Jingalao japo sidhani kama atakuelewa maana kashaamua kujitoa milango ya fahamuKunatakiwa mapambio, ukipambia, sheria, taratibu NA kATIBA haVina nafasi. MAPAMBIO!
MAPAMBIO NI NINI: Mfalme amevaa nguo nzuri sana sana, watu wazima na akili zao wanaona kuwa mfalme yuko uchi lakini wanashangilia!
This sends a clear message that then "MAN" is not accepted, ndio maana wanaminyana kuwatesa TWAWEZA. Unasikia wanaotekwa CDM? Si anapendwa, mnahangaika na nini kuwateka CDM, si mtashinda anapendwa!Watachakachuaje kura kama Twaweza wamesema hayo?
Yajayo yanafurahishaThis sends a clear message that then "MAN" is not accepted, ndio maana wanaminyana kuwatesa TWAWEZA. Unasikia wanaotekwa CDM? Si anapendwa, mnahangaika na nini kuwateka CDM, si mtashinda anapendwa!
Endeleeni kujitoa ufahamu ila lazima sheriaifuatweNi kweli kabisa, siku hizi ukisema nanihii hakubaliki basi ujue unavunja sheria
Twaweze to soften the issues ahead of you, put it that way: The Statistical Package for social sciences (SPSS) was badly fed and hence the inverse results! ππππππ. It was garbage in garbage out and therefore we regret! ! Mmemaliza kazi and you are safe!
Mh hata kama ni hivyo kuna jinsi ya kucorrect hizo mambo tumezifanya sana chuo. Sheria ifuate mkondo wake.Twaweze to soften the issues ahead of you, put it that way: The Statistical Package for social sciences (SPSS) was badly fed and hence the inverse results! ππππππ. It was garbage in garbage out and therefore we regret! ! Mmemaliza kazi and you are safe!
sasa si ndiyo wamegundua kosa, wanarudi nyuma wanarekebisha imfurahishe jiweMh hata kama ni hivyo kuna jinsi ya kucorrect hizo mambo tumezifanya sana chuo. Sheria ifuate mkondo wake.
Hiyo haitaondoa fact kuwa walivunja sheria na kukiuka utaratibu
This sends a clear message that then "MAN" is not accepted, ndio maana wanaminyana kuwatesa TWAWEZA. Unasikia wanaotekwa CDM? Si anapendwa, mnahangaika na nini kuwateka CDM, si mtashinda anapendwa!
Endeleeni kujitoa ufahamu ila lazima sheriaifuatwe