Ewe M/mungu usituletee vichaa wanao kula ruzuku kama mchwa kwa kisingizio cha kujilipa "madeni" kama Freeman Mbowe hatufai
Ee Mungu usituletee wenye timamu kama Masatu ambao kwao Uchimvi na Fitina ni kama mlo wa Mchana
Ewe M/mungu usituletee vichaa wababe wenye kufukuza wenzio bila sababu za msingi kama "Dr" Slaa hatufai!
Eee Mungu hatuhitaji Viongozi werevu ambao kwa kulea maadili machafu ndiko kumetukisha hapa, utupatie Vichaa kama Slaa ambao wanaamini katika utawala wa Sheria na Adabu
Ewe M/mungu usituleteee vichaa "wazee" kama Edwin Mtei wenye kubaka demokrasia kweupe huku wakijidai wanapigania demokrasia hiyo hiyo hawatufai!
Ee Mungu uzidi kutupatia Viongozi kama 100 dizine ya Mtei ambao hawakupenda kuburuzwa katika kile walichikiamini hata kuamua kuachia madaraka manono kwa maslahi ya taifa
Ewe M/mungu usituletee vyama vyenye kugawa wananchi kwa ukanda na ukabila kama Chadema hakitufai!
Na Mungu pia hatutaki vyama vinavyolea na kukumbatia Wezi wa Raslimali za Taifa huku waja wako wakikosa hata umeme wa kuwashia mashine za Upasuaji
Ewe Mungu usituletee vichaa "wahandasi" wa habari wenye kutumia vibaya kalamu zao kwa manufaa ya matumbo yao kama Mwanakijiji na Kubenea hawatufai!
Na Mungu hatukati watu dizine ya Masatu wenye wivu na Fitna dhidi ya Wengine