Bongo FM wana mtangazaji mpya,mwenye hilo jina hapo juu.Mimi simjui kabisa lakini ni mtangazaji mzuri sana,natamani kumfahamu zaidi.Mwenye kumfahamu ntafurahi akinipa historia yake.
wala simjui na mara yangu ya kwanza kumsikia akitangaza ni bongofm sasa unasemaje namjua?Nampigia debe vipi? Mimi husikiliza sana redio japo efm ni redio ambayo huwa siisikilizi kabisa.
Watu mna muda sana aisee,Tanzania ya leo kukaa na kusikiliza Fm Radio mtu uwe na kipaji maana kukaa na kusikiliza watu wakibishana kama walevi siyo jambo jepesi