Twaha Mwaipaya

Ingawa watu watabisha ila Pambalu anatoa info za walipo wanaharakati walio KE ,anatoa kwa kupigwa PINCHI ,usifanye masikhara na mateso ya polisi ,utapigwa mpaka utataja.
..wewe ulikuwa unamsikia akiwa huko alikokimbilia? amerudije..mbona hakushikiliwa boarder km ilivyotokea kwa malisa..
kumkamata ni maigizo..
 
Wewe ndio mtekaji? Nyuzi zote umekomalia ni Pambalu. Yani unataka alaumiwe Pambalu kwa kukamatwa kwa Twaha. Huwa mnatafuta scape goat. Hata alipouawa Ally Kibao mlimgeuzia Kibao Johna Mnyika, kisa yeye ndio alitoa taarifa. Mnaboa sana
Coincidence
Haiwezekani atoke Kenya na kukamatwa halafu baada ya siku kadhaa Twaha akamatwe
Inawezekana kadanganywa ataachiwa akauza nyaraka alipo Twaha
 
Wewe ndio mtekaji? Nyuzi zote umekomalia ni Pambalu. Yani unataka alaumiwe Pambalu kwa kukamatwa kwa Twaha. Huwa mnatafuta scape goat. Hata alipouawa Ally Kibao mlimgeuzia Kibao Johna Mnyika, kisa yeye ndio alitoa taarifa. Mnaboa sana
..usitamke tu bora kusema, mazingira ya kurudi kwake, na kukamatwa akiwa arusha na tukio hilo la utekaji wa Twaha yana viashiria vyote yeye pambalu ndie ametoa taarifa kupelekea Twaha kutekwa..
Kwa nini hakuwa anaongea alipokuwa huko alikokimbilia, amerudi tu na kupanda jukwaani..kwa hiyo watawala ni malaika unapokuwa nje ya mipaka ya nchi, na wanakuwa shetani unaporudi nchini..huo ndio mtizamo wa pambalu..
 
Katika watu wote waliotekwa na Kupotezwa Twaha Ameniuma zaidi.

Chakusikitisha sana CHADEMA hawajatoa Taarifa yoyote hadi sasa.
 
Kwani malisa amekamatwa Kwa kosa gani ? Hao kina twaha wana makosa gani? Jina zuri la Tanzania limeangukia mikononi mwa mahayawani. Mwovu atawalapo watu huumia.
 
Nakumbuka kwenye moja ya clip zake niliwahi kuona akifundisha namna ya kujikinga ili usitekwe. Doooh
Ahahahahaha! Kwamba anafundisha wengine wasitekwe ila katekwa yeye! Ahahahahaha!

Imenikumbusha jamaa mmoja humu aliwahi kulalamika kuwa rafiki yake katunga kitabu kinaitwa "How to Earn Money" halafu akaenda kumuomba hela ya kukichapisha! Ahahahahaha!
Sicheki kama ni mazuri, lakini Kuna watu wahuni sana.
 
Nakumbuka kwenye moja ya clip zake niliwahi kuona akifundisha namna ya kujikinga ili usitekwe. Doooh
Ametoa elimu kwa yeye anavyojua ,na yeye hakukamatwa kwa hizo mbinu alizozitaja ,yeye amechomwa baada ya mtu wake wa karibu kukamatwa na kuminywa MBUPU.

Kutoa elimu jinsi ya kujikinga na janga fulani haimaanishi kwamba wewe haliwezi kukukuta ,ni sawa na kusema Dr Janabi hatokuja kuumwa kwasabab yeye ni Daktari ,matrafiki wanatoa elimu ya kujilinda na ajali barabarani ila na wao wangongwa na kupata ajali vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…