wakuu,
kuna Tv za digital zinazokuja na kingamuzi kwa ndani, msaada wa hatua za namna ya kukiunganisha kilete picha kwa maeneo haya yanayopatikana masafa ya Terrestrial..
Wanaotumia tv za kawaida wanapataje channel za hiyo kampuni? Fanya kama wanavyofanya wao. Kama signal hakuna hata utumie king'amuzi gani. Labda utoke terrestrial uhamie satellite.
TV karibu zote za LED na plasma zinakuja na digital receiver. Unachopaswa kufanya ni kufunga tu antenna na TV itakamata na kuhifadhi stesheni zote (free-to-air) zilizo hewani wakati huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.