"ndugu yangu, pana tatizo gani hapo? Na kwani hamna ukweli kwenye kauli hii? Unakuwa wapi pale mataifa ya kiislam yanavyosemwa ni ya kigaidi ? Ni msingi wa kujenga kuelewana hapo?
Humu jamii forums mara ngapi tushasemwa zanzibar kwa sifa mbaya dhidi ya tanganyika?
Tusiwe double standard, na mengine tuyameze tu hivyo hivyo. Kuna yenye ukweli na ya kizushi"