ukiona fundi anakwambia hapo ni setting tu na haisett yeye jua magumashi hayo
mimi demu wangu sijui kapiga windows wapi pc haishiki wi fi wala usb haisomi nikamwambia mpigie uyo alie kuwekea window mchizi anajibu hapo ni drivers tu hamna zidownload tu kasema manina zako kwanini usinge zidownload wewe ukampa mtu kitu kimekamilika