Tv za star x zipo vizuri sana

Tv za star x zipo vizuri sana

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,065
Reaction score
3,843
Tokea nimeinunua 32 inch naona ipo vizuri sana, kitu kipo clear haileti shida yoyote
IMG_20180914_142129.jpg
 
Kwenye Tvs Star X sio kitu. Ni kama katika pikipiki wenzio wanataja Honda, Yamaha, Bmw ww unataja Toyo. Hivi utajiona mzima kweli???

Tv nzuri ni zile zinazotengenezwa na makampuni makubwa ya Electronics Eg. Lg, Sony, Samsung, Philips, Panasonic, Nk.

Pia TV zina technology hasa upande wa resolution, Display Technology, Input and Output Medias.

Sasa iyo Star X hata Optical port haina. Wala HDMI Out haina. Sasa kama unataka kukonect na home thieter unafanyaje???

Kwa mtu ambae hajui technology ataona poa tu ilimradi inaonesha bora liende
 
Naaam vp kuhusiana na STARTIME tv ubora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom