benjamin shigallah
Member
- Sep 4, 2014
- 7
- 1
94 una access ya kununua tv kweli ww wa makamo kwangu mm hapo ndo na miaka 12 home atuna tv tunaangalia kwa jirani na mdago wangu Gina dii aiseee...Mimi mzee alinunua tv ya Panasonic ya rangi,inch 21 mwaka '94 ,ina kama mbao hivi kwa pembeni.kiukweli hiyo brand ina roho ya paka.mpaka leo ipo na inafanya kazi kama kawaida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani mimi nazeeka lakini tv haifi wala haisumbui.Nakushauri ununue tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mzee alinunua tv ya Panasonic ya rangi,inch 21 mwaka '94 ,ina kama mbao hivi kwa pembeni.kiukweli hiyo brand ina roho ya paka.mpaka leo ipo na inafanya kazi kama kawaida.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani mimi nazeeka lakini tv haifi wala haisumbui.Nakushauri ununue tu
Sent using Jamii Forums mobile app
94 una access ya kununua tv kweli ww wa makamo kwangu mm hapo ndo na miaka 12 home atuna tv tunaangalia kwa jirani na mdago wangu Gina dii aiseee...
121.
94 una access ya kununua tv kweli ww wa makamo kwangu mm hapo ndo na miaka 12 home atuna tv tunaangalia kwa jirani na mdago wangu Gina dii aiseee...
121.
...Sijui watu huwa wana haraka gani ya kusoma kitu haraka haraka na kukijibu haraka haraka bila kujipa muda wa kukielewa na kukijibu kwa Ufasaha...