Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 413
Hamia huko basiNinatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!
Hamia huko basi
Lingetokea TZ harafu uone kama kuna TV italipoti laivu. Unakumbuka matukio mangapi yaliyolipotiwa na TV zetu laivu, nikikumbuka tukio baya la hivi karibuni la kuzama meli ya skarget hakuna TV iliyoweza kulipoti laivu shughuli za uokoaji, zaidi ya breaking newz za itv/RADIO ONE...Ulitaka waonyeshe nn ikiwa kwa sasa hakuna kinachoendelea zaidi ya hilo la utekaji na izo ni tv zao na tatizo lipo kwao ulitakaje labda
Hamia huko basi
Umeona eeeh Huyo jamaa ameathirika na kutumwa na Nape hadi chooni ndio haya....Poor idiotSina uhakika kama we ni mZalendo wa kweli na kama kwwli unaguswa na upuuzi wa baadhi ya vyombo vyetu na hasa hivi vya umma....
Swala aliloliongelea mdau ni la kweli na linagusa si swala la kujifanya una majibu mengi ya mkato kwani ni lazima kuchangia mada!
Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!
Huo ni mtazamo wako tu Lakini waKenya hadi hii leo waQUESTION Big Suali " Vipi hao vijana waliweza kuingia na SILAHA NZITO ndani ya MOYO wa NBR haswa ndani ya soko la WESTGATE na kupitisha, kupandisha gorofaniii? Zikaweza kudumu for 3 to 4 days ? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TV ni changa la macho..... open your eyes not your MOUTH.Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!
ujumbe wako ni mzuri ila umeharibu hapo kwa kutuambia ni king'amuzi unachotumia na kifurushi gani umelipia na kinakuwezesha kuona nini..........BRNNinatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!
Ulitaka waonyeshe nn ikiwa kwa sasa hakuna kinachoendelea zaidi ya hilo la utekaji na izo ni tv zao na tatizo lipo kwao ulitakaje labda
Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!
Huo ni mtazamo wako tu Lakini waKenya hadi hii leo waQUESTION Big Suali " Vipi hao vijana waliweza kuingia na SILAHA NZITO ndani ya MOYO wa NBR haswa ndani ya soko la WESTGATE na kupitisha, kupandisha gorofaniii? Zikaweza kudumu for 3 to 4 days ? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TV ni changa la macho..... open your eyes not your MOUTH.
Ingekuwa kwetu,tv zetu zingendelea kuonesha ngololo
Nakusaidia mkuu,ilikuwa na taarabu na kina mzee yusuf walikuwa wanakata viuno balaa huku watu wamezama baharini wanaogelea na magodoro!!!shame on you tibisisiem!!Kwan kwenye kuzama meli tbc ilikua inarusha matangazo gani??tress back uone hyo national tv majanga yake