K KELVIN CHARLES New Member Joined Sep 5, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Sep 10, 2012 #1 WAKUJA: Shkamoo mwenye duka MWENYEDUKA: Marahaba karibu unataka nini. WAKUJA: NImeambiwa unauza TV za rangi MWENYEDUKA: Haswa hili duka kubwa bwana, kila kitu cha electronics kiko hapa WAKUJA: Naomba TV ya rangi ya kijani
WAKUJA: Shkamoo mwenye duka MWENYEDUKA: Marahaba karibu unataka nini. WAKUJA: NImeambiwa unauza TV za rangi MWENYEDUKA: Haswa hili duka kubwa bwana, kila kitu cha electronics kiko hapa WAKUJA: Naomba TV ya rangi ya kijani
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Sep 12, 2012 #2 Duh! Huyu atakuwa ni gamba