TV wall mounting zinauzwa

TV wall mounting zinauzwa

computerkiddy

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2015
Posts
503
Reaction score
541
kwa wale wanaohitaji kuaattach tv kwenye ukuta
tv wall mounts zipo kwa ajili yenu
zipo za saizi mbali mbali
ziaweza kufunga tv za inchi kuanzia 15 mpaka inch 65
suitable for LG, SONNY,PANASONIC,TOSHIBA,JVC,SAMSUNG,AND OTHER BRANDS
MZIGO UPO WA KUTOSHA BEI NI KUANZIA
BEI
INCH 52-72.....TZSH 50,000
INCH 32-65.........TZSHS 40,000
INCH 22-45...........TZSHS 30,000
INCH 15-37........TZHS 25,000
CONTACTS 0654262419 UNALETEWA MZIGO POPOTE NDANI YA DAR
IMG_20160608_155953.jpg
IMG_20160608_155922.jpg
IMG_20160608_155922.jpg
 
karibuni mzigo bado upo......weka order uletewe ulipo ndani ya dar es salaam contacts 0654262419
 
Hiyo range ya inches zako na bei bado, manake naweza nikanunua ya inch 32 kwa 25000 na wakat huo huo naweza nkapata kwa 30000 na wakati huo huo kwa 40000, maana hiyo 32 ipo kwenye hizo range tatu zote.. heb Weka vizuri hapo
 
Hizo range ni uwezo hizo brackets za kufunga tv za size hizo zilizoainishwa hapo pia hata ukubwa wa hizo brackets ni tofauti kama ilivyo kwa size za tv na ukubwa wake.Hizo size za brackets zinahusisha pia kgs ambazo zinauwezo wa kuhimili size husika.
 
That means nina TV yangu ya inches 32 naweza nkanunua ya 25000 instead of 40000 sio.
 
Hizi bei ndo zenyewe kweli?,mbona nafuu sana au mnasahau kuweka sifuri moja?

Edit-daamn,nilikuwa sijaona bana kumbe Tv mount
 
kwa wale wanaohitaji kuaattach tv kwenye ukuta
tv wall mounts zipo kwa ajili yenu
zipo za saizi mbali mbali
ziaweza kufunga tv za inchi kuanzia 15 mpaka inch 65
suitable for LG, SONNY,PANASONIC,TOSHIBA,JVC,SAMSUNG,AND OTHER BRANDS
MZIGO UPO WA KUTOSHA BEI NI KUANZIA
BEI
INCH 52-72.....TZSH 50,000
INCH 32-65.........TZSHS 40,000
INCH 22-45...........TZSHS 30,000
INCH 15-37........TZHS 25,000
CONTACTS 0654262419 UNALETEWA MZIGO POPOTE NDANI YA DAR
View attachment 357075 View attachment 357076 View attachment 357076
mbona namba haipatikani
 
Back
Top Bottom