Nina External TV tuner card (pixelview model no.: pv-nt1004+) na nimepoteza cd ya drivers nimejaribu kupekua pekua kwenye mitandao nimekwama hivyo naomba msaana wenu wana JF....

Mkuu, itakuwa vigumu sana kuweza kukutafutia hizo driver pasipo kujua model # ya hiyo TV Tuner yako. Vipi hiyo computer yenye tv tuner imeunganishwa na internet?

Mkuu haijaunganishwa na internet ila nimejaribu kuangalia kwenye chip zake nimeona imeadikwa hivi: conexant,fusion 878A,25878-13,0504y1d8,0504
sina uhakika sana kama inaweza kuwa ndiyo model yake.