TV StarX nch 43 inauzwa

mudrah

JF-Expert Member
Nov 17, 2017
980
1,972
TV starx led tv inauzwa, ina mstari mdogo kwa juu ila hauna shida yeyote

Bei 450,000 mazungumzo yapo, ipo Tungi Kigamboni
0713895176
0737026581
View attachment 1908341
IMG_20210825_190719_226.jpg
View attachment 1908342
 
Unasema ina mstari mdogo juu tena unageuka kusema haina tatizo?

"nyumba ina ufa juu ya lenta ila haina tatizo mkuu"
Ufa unaweza kuwepo lakini usivujishe maji, huo mstari kwa kioo hauna shida na nimeitumia hivyo kwa muda sasa
 
Huo mstari ni ishara kuwa tayari ni tatizo na muda wowote ule itaongezeka!!biashara nyingine daa, sasa tv mpya kama hiyo kwa 570, 000 unapata, ila kila raheli mkuuu
Kwa 570K unaweza usipate ila ni kweli kabisa kwamba huo mstari ni ishara ya tatizo.
 
Wakati unainunua ilikuwa na huo mstari? Kama ulinunua ikiwa haina kwanini umetokea na unasema si tatizo?
nimenuna na huo mstar n miezi sita sasa ninayo na hakuna shida naiuza kwa sababu nimechukua ingne kubwa zaidi ya hii thats why nikasema mazungumzo yapo

kama unaita nakupa waranty miez mitatu
 
nimenuna na huo mstar n miezi sita sasa ninayo na hakuna shida naiuza kwa sababu nimechukua ingne kubwa zaidi ya hii thats why nikasema mazungumzo yapo

kama unaita nakupa waranty miez mitatu
Acha kudanganya watu, usifikiri wewe ndiye mtu wa kwanza kumiliki TV Tanzania.

Nani mwenye akili timamu anaweza kununua TV yenye mstari kutoka dukani na asione ni tatizo.
 
nimenuna na huo mstar n miezi sita sasa ninayo na hakuna shida naiuza kwa sababu nimechukua ingne kubwa zaidi ya hii thats why nikasema mazungumzo yapo

kama unaita nakupa waranty miez mitatu
Bro umenunua tv ikiwa na mstari kutoka dukani?
 
Acha kudanganya watu, usifikiri wewe ndiye mtu wa kwanza kumiliki TV Tanzania.

Nani mwenye akili timamu anaweza kununua TV yenye mstari kutoka dukani na asione ni tatizo.
kama hutak kuamini si basi mzee hakuna sehem nimesema huna akili wala unayo...?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom