Tv (sony bravia, lcd 32'') , laptop (hp), digital camera (sony) - msaada tafadhali




Pole sana.

Mimi pia yamenikuta - na nimekubali matokeo kwani nimeshindwa kutafuta.
USHAURI: - Ongeza security kwenye appartment yako - weka alarm mlangoni - badilisha vitasa etc. Weka hata grill mlango wa mbele kama wamepitia hapo. Otherwise ndugu yangu - unajuaje vimeenda uzwa mbali??

Ni wengi wanalia na hili jambo - again POLE ila hauko peke yako.
 
Thx yatima...life goes on, wakati si tunapinda migongo kwa kazi ngumu...wao wanaenda kwenye milango yetu!Anyway, 40 yao itafika hata kama si kwetu...
 
kaka pole sana kwa yalio kukuta usijali we sahau na mungu atakujalia utapata zaidi ya hivyo. ila unatakiwa kuongeza ulinzi nyumbani kwako
 
Pole sana ndugu,ongeza tu ulinzi hapo kwenye hiyo sehemu ,otherwise tafuta eneo ambalo lina usalama zaidi na uhame hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…